Posted on: September 29th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera ameweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospital Ikola, 29/9/2020.Hospitali hiyo itahudumia watu wa Karema, Ikola, Kapalamsenga na majirani zetu nchi ya Congo....
Posted on: September 27th, 2020
Kikundi cha Muungano Troupe(kinachojumuisha Shule ya Msingi Muungano na Mpanda) kimezawadiwa cheti na kiasi cha shilingi 200,000/= na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera baada ya kushinda nafasi y...
Posted on: September 25th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera akikata utepe kuzindua Mpango Mkakati wa kukuza utalii mkoani Katavi tarehe 25/9/2020, katika viwanja vya Azimio mjini Mpanda Mkoani Katavi....