Posted on: April 14th, 2022
Akizeti ni miongoni mwa mazao yanayolimwa mkoani Katavi kwa ajili uzalishaji wa mafuta ya kula. Tanzania haijajitosheleza katika uzalishaji wa mafuta ya kula. Tanzania huagiza zaidi ya 60% ya mafuta y...
Posted on: March 9th, 2022
Miti ya Mikorosho ina faida nyingi. Hutupatia chakula, kipato( binafsi na kwa serikali) na hutunza mazingira kama mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi Tanzania na ulimwengu wa ujumla. Ser...
Posted on: March 9th, 2022
Sekta ya mifugo ina mchango mkubwa katika nchi yetu. Katika sekta hii tunapata nyama, maziwa, ngozi, mafuta na sekta hii inatengeneza ajira katika nchi yetu. Serikali inaendelea kuboresha sekta ...