Posted on: January 3rd, 2025
Leo Januari 03, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko, amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa huo. Ziara hiyo imelenga kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa...
Posted on: January 2nd, 2025
Kikao Kati ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Viongozi wa TABEDO Kujadili Maendeleo ya Ufugaji Nyuki Tanzania.
Leo, Januari 2, 2025, kikao muhimu kimefanyika katika Ofisi ya...
Posted on: January 1st, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mheshimiwa Mwanamvua Mrindoko, leo Januari 1, 2025, amesema kuwa wananchi wa Katavi wanapaswa kusherehekea mwaka mpya kwa amani na utulivu.
Katika salamu zake, Mhes...