Bw. Huruma Mwalutanile
Katibu Tawala Msaidizi
Sehemu ya Mipango na Uratibu
1.1 UTANGULIZI
Sehemu ya Mipango na Uratibu ni moja ya Sehemu zinazounda Sekretariati ya Mkoa wa Katavi. Jukumu kubwa la Sehemu hii ni Uratibu wa Mipango ya Kibajeti na Maendeleo pamoja na Usimamizi na Utekelezaji wa Mipango yote ya Mkoa wa Katavi.
1.2 MUUNDO WA SEHEMU
Kimuundo Sehemu hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi.
Watumishi waliopo katika Sehemu hii.
NA |
JINA |
CHEO |
1
|
Huruma Mwalutanile
|
Katibu Tawala Msaidizi – Mipango na Uratibu.
|
2
|
Ignas S. Kikwala
|
Afisa Maendeleo ya jamii Mwandamizi
|
3
|
Anna Shumbi
|
Afisa Maendeleo ya jamii I
|
4
|
Grace Madaha
|
Mtakwimu I
|
5
|
Frorence Chrisant
|
Mchumi I
|
Aidha Kimuundo Sehemu hii inatakiwa kuwa na Jumla ya Watumishi Wafuatao, Ikionyesha Waliopo na Pungufu yao.
NA. |
CHEO/KADA |
MAHITAJI |
WALIOPO |
PUNGUFU |
1. |
Katibu Tawala Msaidizi
|
1 |
1 |
0 |
2. |
Mchumi I
|
2 |
1 |
1 |
3. |
Mtakwimu I
|
1 |
1 |
0 |
4. |
Afisa Maendeleo ya Jamii
|
2 |
2 |
0 |
MAJUKUMU YA SEHEMU YA MIPANGO NA URATIBU
1.4 MGAWANYO WA KAZI NA SHUGHULI KATIKA SEHEMU YA MIPANGO NA URATIBU
NA |
JINA |
CHEO |
MAJUKUMU |
1.
|
H. Mwalutanile
|
Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
|
Anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa juu ya utendaji wa shughuli zote za Sehemu.
Kuhudhuria vikao vya RMT, na vikao vya kisheria anavyotakiwa kuhudhuria Kusimamia maandalizi ya mpango wa maendeleo (MTEF). Kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Mkoa. Kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika Mkoa na Halmashauri za Mkoa wa Katavi. Kuhudhuria vikao vya kujadili Mipango ya Maendeleo na Bajeti Mkoani na Wizarani. Kuhudhuria vikao vya RCC na RRB. Kuhudhuria vikao vya maandalizi ya sherehe za Kitaifa na ugeni wa Mkoa, Taifa na Kimataifa. Kusimamia upimaji wa Halmashauri dhidi ya masharti ya kupata fedha za Maendeleo LGCDG na Benchmarking. Kusimamia Programmu ya PFMR Na Mpango wa Maendeleo wa Miaka 15 wa Mkoa wa Katavi Kusimamia miradi ya Uwekezaji |
3.
|
I.Kikwala
|
Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi
|
Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
kufuatilia taarifa za utekelezaji wa Miradi ya Halmashauri, Ukimwi na CSOS. Kusimamia na kufuatilia shughuli za Idara za Maendeleo ya Jamii na TASAF Kusimamia na kufuatilia shughuli za Idara za Maendeleo ya Jamii na UKIMWI Kufuatilia maandalizi ya Mipango ya Maendeleo na Bajeti katika Idara za Maendeleo ya jamii na TASAF Kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na kufanya tathmini ya utekelezaji (M & E) ya Miradi iliyopo chini ya Idara za Maendeleo ya Jamii na mradi wa TASAF, Kuandaa Muhtasari na maazimio ya Vikao vya RCC |
3.
|
A.Shumbi
|
Afisa Maendeleo ya Jamii I
|
Kusimamia na kufuatilia shughuli za kudhibiti UKIMWI katika Halmashauri Kufuatilia maandalizi ya Mipango ya Maendeleo na Bajeti katika Idara za Maendeleo ya jamii. Kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na kufanya tathmini ya utekelezaji (M & E) ya Miradi iliyopo chini ya Idara za Maendeleo ya Jamii na UKIMWI. Kusimamia shughuli zote za Mpango wa ONYAKA Kuratibu maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Mratibu wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Kuratibu na kutoa mafunzo ya stadi za maisha na ujasiriamali kwa Vijana ndani ya Mkoa Kuandaa na kuwasilisha taarifa za Robo Mwaka |
4
|
G.Madaha
|
Afisa Takwimu I
|
Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
Kukagua, kufuatilia na tathimini ya Miradi ya Maendeleo katika Mkoa na Halmashauri Kuratibu maandalizi ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti (MTEF) ya Mkoa Kuboresha Wasifu wa Mkoa na Pato la Mkoa Kukusanya Takwimu, taarifa za Hali ya Maendeleo, kuzichambua na kuzihifadhi. Kuratibu matumizi ya mifumo ya SBASS katika Mpango wa Maendeleo na Bajeti (MTEF) Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Miradi ya maendeleo kwa kwa robo, nusu na mwisho wa mwaka. Kusimamia na kuratibu ujazwaji wa daftari la wakazi katika vijiji Kuratibu shughuli za Takwimu kwa kushirikiana na Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Mkoa, Halmashauri na Taasisi binafsi Kusaidia na kushauri katika masuala yahusiyo takwimu kwa uongozi wa juu na kushiriki katika kuandaa sera mbalimbali |
5
|
F.Chrisant
|
Mchumi I
|
Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
Kuandaa Annual performance report Kuratibu na kuandaa maazimio ya RCC Kufuatilia maandalizi ya Mipango ya Maendeleo na Bajeti katika Mkoa Kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na kufanya tathmini ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Mkoa na Halmashauri Kuandaa Annual Action Plan and Cash Flow Plan for MTEF Budget |
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved