Posted on: October 29th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe Amos Gabriel Makalla aingilia kati Ugawaji wa Vibanda 80 vya biashara katika Stendi Mpya ya Mpanda. Aitaka kamati ya Ugawaji itende haki na vibanda visigawiwe kwa upendeleo...
Posted on: October 25th, 2018
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Kilimo. Alikuwa anahamasisha kilimo chenye tija na kuzalisha mazao yaliyo bora ...
Posted on: October 23rd, 2018
Mhe Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipotembelea gereza la Mpanda kusikiliza kero za wafungwa na maabusu na kuzipatia suluhisho...