Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akiwasha trekta kuashiria uzinduzi wa msimu wa Kilimo wakati akikabidhi Trekta kwa Mkulima kutoka Wilaya ya Mlele lililotolewa kama Mkopo kwa Mkulima huyo kutoka Benki ya NMB wakati wa uzinduzi wa Msimu wa Kilimo katika kilele cha Wiki ya Mwanakatavi 2 Novemba 2022. ">