Posted on: September 1st, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa wananchi wote wa mkoa wa Katavi kuendeleza mshikamano, amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025.
...
Posted on: August 26th, 2025
Katibu tawala Mkoa wa Katavi Albert Msovela amesema ni lazima watumishi wa umma kuzingatia maadili na miiko ya kazi kwa mujibu wa sheria kwani baadhi ya watumishi wamekuwa na changamoto nyingi ambazo ...
Posted on: August 26th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Mhe. Onesmo Buswelu, amewahimiza wahitimu wa jeshi la akiba kuendeleza moyo wa uzalendo na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kimaendeleo watakaporejea kwenye jamii ...