1.0 Utangulizi
Mkoa wa Katavi una hazina kubwa ya maliasili kama misitu, Hifadhi ya Taifa ya Katavi na mapori tengefu. Hifadhi za wanayamapori zinajumuisha Hifadhi ya Taifa ya Katavi na Pori la Akiba la Rukwa/Lwafi. Hifadhi za misitu zinajumuisha Hifadhi za Misitu za Inyonga, NorthEast Mpanda, Msaginya, Mlele, Rungwa, Nkamba, Masito Ugalla na Tongwe East.
Mkoa una hekta 2,801,168.6 za Hifadhi za misitu. Mchanganuo wa ukubwa wa maeneo yanayojumuisha hifadhi za misitu ni kama ifuatavyo katika jedwali Na 1:-
NO
|
JINA LA MSITU
|
ENEO LA MISITU
|
KIASI CHA MBAO
|
|||
Eneo Halisi kwa Ha
|
Eneo lenye Miti kwa Ha
|
Ujazo M3 Ha
|
Ujazo M3
|
Idadi ya Miti
|
||
01
|
Inyonga
|
590,616.5
|
520,761.42
|
45
|
2,512,507
|
946,011
|
02
|
Msaginya
|
85,560
|
76,689.90
|
18
|
1,349,279
|
287,609
|
03
|
Mlele Hill
|
521,099.20
|
467,365.50
|
56
|
3,667,151
|
1,471,166
|
04
|
Nkamba
|
99,264.50
|
82,756.80
|
46
|
206,653
|
77,063
|
05
|
Mpanda Kaskazini Mashariki
|
504,286
|
452,214.50
|
49
|
1,829,719
|
1,054,640
|
06
|
Rungwa
|
402,848
|
361,316
|
46
|
759,686
|
310,806
|
07
|
Tongwe
|
168,415.20
|
151,048.80
|
77
|
654,492
|
213,799
|
08
|
Ugalla
|
428,835
|
384,615
|
43
|
710,555
|
302,442
|
|
JUMLA KUU
|
2,801,168.60
|
2,496,767.20
|
380
|
11,690,042
|
4,663,536
|
Mkoa una kiasi cha Hekta 866,500 ambazo ni hifadhi za wanyamapori zinazojumuisha Hifadhi ya Taifa ya Katavi yenye ukubwa wa hekta 447,100 na Pori la Akiba la Rukwa lenye ukubwa wa hekta 419,400. Idadi na aina ya wanyama wanaopatikana katika hifadhi hizi ni kama ifuatavyo katika jedwali Na 2:-
NA |
AINA YA MNYAMA |
IDADI HIFADHI YA TAIFA YA KATAVI |
01 |
Viboko
|
5400
|
02 |
Mamba
|
Sensa haijafanyika
|
03 |
Samaki
|
Sensa haijafanyika
|
04 |
Tembo
|
Sensa haijafanyika
|
05 |
Twiga
|
900
|
07 |
Nyati
|
39,800
|
08 |
Simba
|
190
|
09 |
Pundamilia
|
3,000
|
10 |
Fisi
|
750
|
11 |
Mbwa mwitu
|
Sensa haijafanyika
|
12 |
Nyemela
|
900
|
13 |
Kongoni
|
140
|
14 |
Swala
|
1,000
|
15 |
Nyani
|
Sensa haijafanyika
|
16 |
Kudu
|
Sensa haijafanyika
|
18 |
Palahala
|
40
|
Mkoa una vivutio vingi vya utalii vinavyojumuisha Mambokale na Hifadhi za wanyama. Fursa za kitalii zilizopo ni kama ifuatavyo:-
NO
|
SEHEMU
|
FURSA ZA KITALII ZILIZOPO
|
01
|
Hifadhi ya Taifa ya Katavi
|
Muonekano mzuri wa ziwa Katavi na Ilyandi Sandridge
|
|
|
Mti wa mzimu wa Katabi na vilima vya mke wa Mzimu aitwaye Wamweru
|
|
|
Wanyama wengi katika maeneo ya ziwa Katavi, maeneo ya Kataukasi na Kakonje
|
|
|
Uwingi wa wanyama katika uwanda wa Katisunga
|
|
|
Uwepo wa miti marula na misawala eneo la Ikuu
|
|
|
Uwepo wa wanyama wengi pembezoni mwa mto Katuma
|
|
|
Uwingi wa n a mapango ya mamba katika daraja la zamani eneo la Ikuu
|
|
|
Uwingi wa wanyama katika eneo la ziwa Chada
|
|
|
Muonekano mzuri wa kilima cha lyamba lya mfipa
|
|
|
Mbuga ya duma
|
|
|
Uwepo wa wanyama waliohatarini kutoweka kama mbwa mwitu, roan antelope na Kudu
|
|
|
Uwingi wa mamba na viboko katika eneo la mto Kapapa
|
|
|
Uwingi wa nyati katika eneo la mto Chorangwa na Mpunga flood plain
|
|
|
Uwepo wa maporomoko ya maji yam to Ruchima na Chorongwa
|
|
|
Uwepo wa Twiga mweupe
|
02
|
Pori Tengefu la Rukwa
|
Uwepo wa ziwa Rukwa
|
|
|
Uwepo vitalu sita vya uwindaji wa kitalii
|
|
|
Uwepo wa wanyama mbalimbali
|
03
|
Majimoto
|
Uwepo wa chemchem ya majimoto
|
04
|
Karema
|
Uwepo wa kanisa la kihistoria
|
|
|
Uwepo wa ziwa Tanganyika
|
05
|
Katumba
|
Uwepo wa kanisa kubwa la Tambazi
|
06
|
Nsimbo na Mpanda
|
Uwepo wa madini
|
07
|
Hifadhi za Misitu
|
Ufugaji nyuki
|
Baadhi ya wanyama na maeneo ya kuvutia katika
Hifadhi ya Taifa ya Katavi
1.4 Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii
Mkoa una jumla ya vitalu nane (8) vya uwindaji wa kitalii. Orodha ya vitalu hivyo na ukubwa wake ni kama ifuatavyo:-
NO
|
JINA LA KITALU
|
UKUBWA KWA KM ZA MRABA
|
01
|
Msima 1 na Msima II
|
2,000 |
02
|
Mlele Kaskazini na Kusini
|
5,210.9 |
03
|
Eneo la wazi la Niensi katika msitu wa Tongwe
|
1,658 |
04
|
Inyonga Kaskazini na Kusini
|
3,500 |
05
|
Rukwa
|
4,190 |
06
|
Masito Ugalla
|
4,288.35 |
07
|
Mto Rungwa
|
4,026.45 |
08
|
Msitu wa Nkamba
|
992.6 |
1.5 Mapato kutokana Utalii pamoja na Uwindaji wa Kitalii 2011 hadi 2017
Mkoa umekuwa na ongezeko la watalii kutoka 2,854 waliotembelea hifadhi ya Taifa ya Katavi mwaka 2012 hadi kufikia watalii 3,837 mwaka 2016. Aidha lipo ongezeko pia la maduhuli ya serikali kupitia Hifadhi ya Taifa ya Katavi kutoka shilingi 119,096,260.00 zilizokusanywa mwaka 2012 hadi kufikia shilingi 590,257,398.75 zilizokusanywa mwaka 2015.
IDADI YA WATALII NA MADUHULI YA SERIKALI YATOKANAYO NA UTALII
MWAKA
|
IDADI YA WATALII WA NDANI
|
IDADI YA WATALII TOKA NJE
|
MADUHULI YA SERIKALI KUTOKANA NA UTALII
|
2011/2012
|
1223 |
1631 |
119,096,260.00 |
2012/2013
|
1623 |
1513 |
108,220,195.00 |
2013/2014
|
2563 |
2152 |
209,651,863.00 |
2014/2015
|
2604 |
1733 |
198,207,334.00 |
2015/2016
|
2452 |
1385 |
185,234,200.00 |
JUMLA
|
|
|
820,409,852.00 |
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved