Posted on: December 2nd, 2024
Kampeni ya utoaji wa Matone ya Vitamin A na Dawa za Minyoo ya Tumbo.
Ni kuanzia tarehe 01 mpaka tarehe 31 Desemba 2024, Huduma itatolewa bure katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya, Kuanzia ...
Posted on: November 29th, 2024
Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali ya Mtaa, Vijiji na Vitongoji katika mkoa wa Katavi wameapishwa Novemba 29/2024 tayari kuanza kutekeleza majumu yao ya kazi.
Akizungumza baada ya viongozi hao ku...
Posted on: November 29th, 2024
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimefanikisha utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa majengo mapya katika Kampasi ya Mizengo Pinda, Katavi, kupitia mradi wa HEET. Hafla hiyo imehudhuriwa na Mkuu...