Posted on: September 22nd, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. J.Z. Homera akikagua ujenzi wa Zahanati ya Bujombe, katika Halmashauri ya Tanganyika, Mkoani Katavi. Mhe Homera amechangia 1,000,000/= kuongeza kasi ya ujenzi wa Zahanati h...
Posted on: September 18th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Juma Homera akitunuku Cheti kwa mmojawapo wa mafunzo ya jeshi la zimamopto na Uokoaji mjini Mpanda Tarehe 18/9/2020, mkoani Katavi.
Mafunzo hayo yametolewa kwa vijana 81 ...
Posted on: September 18th, 2020
Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Katavi Bi. Regina Kaombwe akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera Blanketi la kuzimia moto tarehe 18/9/2020 katika Ofisi za zamani za Zimamoto na Uo...