Posted on: September 24th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Katavi akipokea T.Shirt kutoka kwa Ally Ngingiti, Meneja Mwandamizi NMB Makao Makuu Dar Es Salaam tarehe 24/9/2020. NMB imeandaa T.Shirt hizo kwa ajili ya Tamasha la Utalii wa Kitamadu...
Posted on: September 23rd, 2020
Chanzo cha maji Ikolongo kina uwezo wa kuzalisha ujazo wa lita milioni 3.5 kwa wananchi wa Mpanda. Kwa sasa mahitaji ya maji kwa wanampanda ni zaidi ya lita milioni moja. Maji husambazwa kwa mserereko...
Posted on: September 23rd, 2020
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpanda, Zakaria Nyanda akitoa maelezo kuhusu chanzo cha maji Ikolongo kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. J.Z. Homera tarehe 23/9/2020. Chanz...