Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amefanya ziara katika Wilaya ya Tanganyika, kwa kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Karema sambamba na ujenzi wa Barabara ya Karema kwa kiwango cha Lami yenye urefu wa 120Km.
Katika ziara hiyo alikagua mradi huo unaotekelezwa vizuri chini ya Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA, huku ujenzi huo ukiwa umekamilka kwa asilimia 100%
Bandari ya Karema ni lango la kiuchumi kati ya nchi ya Tanzania na nchi jirani ya DR Congo, kukamilika kwa mradi huu mkubwa kunafungua ukuaji wa uchumi kwa nchi, kutanua wigo wa ajira na urahisishaji wa utoaji wa huduma.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved