Naibu waziri, Wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihenzile (MB) ameanza ziara ya kikazi Mkoani Katavi leo Desemba 18, 2024.
Akiwa Mkoani hapa Mhe. Kihenzile atakagua uwanja wa ndege Mpanda na maendeleo ya Bandari ya Karema.
Awali Mheshimiwa Kihenzile amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe.Mwanamvua Mrindoko na kuahidi kuwa Wizara ya Uchukuzi itashirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi kuhakikisha kuwa idadi ya ndege zinaongezeka katika Uwanja wa ndege Mpanda.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved