Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe Jumaa Aweso akipata maelezo ya ujenzi wa tanki la maji Ikorongo 11, katika Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi tarehe 10/08/2020. Ujenzi wa tanki hili lenye ujazo wa lita milioni moja unatarajiwa kukamilika tarehe 15 Septemba 2020.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved