• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

WATAALAMU WA ELIMU KUTOKA ZANZIBAR WAVIKA H/W YA MLELE KUJIFUNZA.

Posted on: February 5th, 2026

Ikiwa ni takribani mwezi 1 tangu Mheshimiwa Naibu Waziri wa Tamisemi(elimu) Mheshimiwa Reuben Nhamanilo Kwagilwa azielekeze Halmashauri nyinginezo nchini kufika Halmashauri ya wilaya ya Mlele kujifunza namna bora ya utendaji kazi, wataalamu wa sekta ya elimu kutoka visiwani Zanzibar, wachangamkia fursa hiyo kwa kufika katika Halmashauri ya wilaya ya Mlele, lengo likiwa kujifunza kutoka kwa wataalamu wa Halmashauri hiyo kuhusu mbinu bora za elimu,utendaji kazi na kuhusu fursa mbalimbali zinazopatikana Halmashauri ya wilaya ya Mlele .

Wataalamu hao wamepata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali vilevile wakapata fursa ya kutembelea shule ya sekondari ya amali_ ya Mgombe ambapo wamejifunza jinsi inavyoendesha huduma zake, sambamba na hilo wakapanda miti shuleni hapo ikiwa ni ishara ya kuunga mkono kauli mbiu ya " Uzalendo ni kutunza manzingira shiriki kupanda miti"

Aidha wataalamu hao wameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Mlele kwa kazi nzuri inayofanya hali ambayo imewavutia wataalamu hao kuja kujifunza pia wakashukuru uongozi mzima wa Halmashauri hiyo kwa mapokezi mazuri uliowapatia .

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Mlele Mheshimiwa Majid Mwanga kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele Bi Siglinda Mdemu wamefurahishwa na ugeni huo hivyo wakawazawadia wataalamu hao Asali bora zaidi inayopatikana Halmashauri ya wilaya ya Mlele pekee vile vile wakatoa wito kwa wataalamu wengine kutoka maeneo mbalimbali kufika Mlele kujifunza fursa zilizopo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI - MWAKA 2025 April 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA SEKTA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOA WA KATAVI August 27, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA SEKTA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOA WA KATAVI August 27, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATAALAMU WA ELIMU KUTOKA ZANZIBAR WAVIKA H/W YA MLELE KUJIFUNZA.

    February 05, 2026
  • TIMU YA WATAALAMU WA ELIMU KUTOKA ZANZIBAR YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO H/W YA MPIMBWE.

    February 04, 2026
  • MHE. WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

    February 11, 2026
  • RAS MSOVELA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA WILAYA YA TANGANYIKA KUWA MFANO WA KUIGWA, KUJENGA HUDUMA BORA, UWAZI NA UWAJIBIKAJI.

    December 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved