RC KATAVI AFANYA UKAGUZI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATUMBA KATIKA HALMASHAURI YA NSIMBO
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe Amos Makalla amefanya ukaguzi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Katumba katika Halmashauri ya Nsimbo na kupongeza ushiriki wa wananchi ulioharakisha ujenzi na kuwezesha kuongezwa kwa njia za kupitishia wagonjwa. Amesema njia hiyo haikuwepo awali kwenye bajeti ya milioni 600 bali ushiriki wa wananchi umewezesha kuokoa fedha zilizotumika kujenga "walk away"
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved