Mhe Mkuu wa Mkoa wa Katavi atembelea eneo la jeshi na kuwaamuru wananchi waliovamia eneo hilo kuchimba kokoto waondoke mara moja. Hata hivyo aliahidi kwamba muda si mrefu eneo hilo litapimwa kwa ajili ya jeshi na eneo litakalobaki litarejeshwa kwa wananchi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved