• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Tanganyika

Mhe. Salehe Mbwana Muhando

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mhe.Salehe Muhando (wa tatu kutoka kulia) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Ally Hapi

kuhusu Wilaya yake ilivyojipanga kuhakikisha inamnyanyua mkulima kutoka katika kilimo cha kimazoea na kuingia katika kilimo cha kibiashara.

Viongozi hawa wamekutana baada ya kufungwa kwa maonesho ya nanenane  mwaka 2018 katika ukumbi wa Benjamini Mkapa Jijini Mbeya.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Muhando wa pili kutoka kulia akisikiliza maelezo ya maabara ya udongo

 inayotembea katika banda la OCP, wakati wa maonesho ya Nane nane Jijini Mbeya mwaka 2018.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Mhando wa kwanza kushoto akiwa katika ziara ya kujifunza teknolojia mpya 

inayotumika katika Kilimo ili kuongeza uzalishaji wa mazao ya Chakula na Biashara na kujenga uchumi wa Viwanda katika

 maonesho ya Nanenane Jijijini Mbeya 2018. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda

 Bw. Lumuli Rojasi na wa tatu ni Mhe. Hamadi Mapengo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Muhando akikagua kitalu cha miche ya Mikahawa na Pines katika

Kijiji cha Lugonesi kata ya Mwese Wilaya ya Tanganyika

Kitalu cha miche ya Mikahawa na Pines katika Kijiji cha Lugonesi kata ya Mwese Wilaya ya Tanganyika

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Salehe Muhando akikagua Miradi ya Maendeleo katika Wilaya yake, ili  kuhakikisha 

kuwa ujenzi unaendana na thamani ya fedha iliyotolewa na kukamilika kwa wakati.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe Muhando akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Mradi wa Maji katika Kata ya Kabungu. 

Mkuu huyo wa Wilaya amewapongeza wakandarasi wa Mradi huo, na kuwaambia kuwa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo 

na kuwataka wakamilishe mradi huo kwa muda uliopangwa.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mheshimiwa Salehe Mhando amepokea vifaa mbalimbali kutoka NMB

 kwa ajili ya kituo cha afya cha Mwese vyenye thamani ya million 5.

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mhe. Salehe  Mhando ametoa shilingi milioni moja katika kuunga mkono jitihada za wananchi wa Kijiji 

cha Luhafwe ambao wameanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa  ya shule ya msingi Ruhafwe iliyopo wilayani Tanganyika.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika akiwa katika vikao vyake vya kawaida kuhamasisha wananchi kufanya kazi 

na kuwa wabunifu katika kujiongezea kipato na kujenga uchumi wa Viwanda.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh.Salehe Mbwana Mhando akiwa katika ziara ya na kukagua shughuli mbalimbali  za maendeleo katika 

Wilaya yake, Mkuu huyo wa Wilaya pamoja na kutembelea miradi ya ujenzi katika Kata ya Ikola pia alipata fursa ya kutembelea 

Mwalo katika eneo la Kata ya Ikola na kuwahimiza wavuvi kufanya kazi kwa bidii ili kuijenga Tanzania mpya ya Viwanda.



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AKEMEA WAKURUGENZI KUZALISHA MADENI MAPYA KWA WAZABUNI.

    May 22, 2025
  • KATAVI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI.

    May 21, 2025
  • BASATA YAWAPIGA MSASA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KATAVI MFUMO WA AMIS NA TAUSI

    May 20, 2025
  • KATAVI KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRID YA TAIFA MEI 20,2025.

    May 15, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.