• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Information and Communication Technology

 UTANGULIZI

TEHAMA ni moja  ya kitengo kinachounda Sekretariati ya Mkoa wa Katavi. Jukumu kubwa la kitengo hiki ni kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa  kuhusu shughuli zote za Tekinolojia ya Habari na Mawasiliano katika Mkoa wa Katavi.

MAJUKUMU YA KITENGO:

  • Lengo

    Kutoa ushauri na utaalam kuhusu masuala yahusuyo  TEHAMA .

    Kitengo kitafanya kazi zifuatazo:-

     Utekelezaji wa sera ya TEHAMA na Serikali mtandao;


    Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa kuhusu  matumizi bora  ya rasilimali za TEHAMA katika Mkoa  ili kupunguza gharama na kuongeza ubora wa huduma kwa umma
  •  Kushauri  kuhusu  kusimika na kusimamia matumizi ya mifumo ya kielektroniki kwa kushirikiana na Wataalam wa TEHAMA wa OR-TAMISEMI  katika kutoa kuduma mbalimbali  kwa umma .


  •  Kushauri matumizi sahihi  ya miongozo mbalimbali ya TEHAMA iliyotolewa  na Serikali   katika kusimamia mifumo ya kielektironiki kwa ufanisi na weledi.

  • Kushauri kuhusu manunuzi ya vifaa vya TEHAMA vinavyozingatia ubora na viwango vinavyokubalika.

  •  Kutoa huduma za ushauri wa kitaalam na msaada wa kiufundi kwa ngazi ya Mkoa na Halmashauri zake zote kadri inavyohitajika.



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AKEMEA WAKURUGENZI KUZALISHA MADENI MAPYA KWA WAZABUNI.

    May 22, 2025
  • KATAVI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI.

    May 21, 2025
  • BASATA YAWAPIGA MSASA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KATAVI MFUMO WA AMIS NA TAUSI

    May 20, 2025
  • KATAVI KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRID YA TAIFA MEI 20,2025.

    May 15, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.