• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Finance and Accounts


Bi. CHRISANTA  SHAYO


Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu

MAJUKUMU YA KITENGO CHA FEDHA NA UHASIBU NA JINSIKINAVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

Kitengo cha Fedha na Uhasibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi kinatekeleza Majukumu Makuu matano. Majukumu hayo matano yameainishwa na kufafanuliwa jinsi yanavyotekelezwa na Wataalam waliopo kwenye Kitengo chaUhasibu na Fedha kama ifuatavyo:

Usimamiziwa Fedha:

Katika Usimamizi wa Fedha kitengo cha Fedha na Uhasibukinawajibika kuandaa na kuidhinisha malipo mbalimbali ya shughuli za kila sikuza uendeshaji wa ofisi pamoja na shughuli za kutoa huduma kwa wananchi wa Mkoawa Katavi. Aidha, kitengo hiki kinawajibika katika kuandaa na kuidhinishamalipo ya Mishahara ya Watumishi, kuwezesha makato mbalimbali yanayokubalikakisheria kutoka kwenye mishahara ya watumishi na kuyawasilisha kwenye mamlakazinazohusika na makato hayo. Pia kutunza orodha na nyaraka za Watumishiwanaolipwa mishahara kwa ajili ya kumbukumbu za baadae.

KuwezeshaMalipo:

Katika Kitengo cha Fedha na Uhasibu tunawezesha malipombalimbali ya fedha kwa njia za kisasa ambazo ni za mtandao (yaani malipoyanafanyika kwa njia ya intaneti) ili kuondoa urasmu wa kuchelewesha malipo nakupelekea kukwamisha shughuli mbalimbali za Serikali, au kukwamisha malipombalimbali ya watumishi na malipo ya watoa huduma  wanaotoa hudumambalimbali katika Serikali. Pia Kitengo kinawajibika kutunza daftari la hesabukwa ajili ya kumbukumbu za kimahesabu, Kupeleka benki fedha taslimu na hundibenki.

Hesabuza Mwisho wa Mwaka:

Kitengo cha Fedha na Uhasibu kinawajibika kutayarisha Makadirioya Bajeti na kudhibiti matumizi ya fedha pia  kuandaa taarifa ya matumiziya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima kwa ajili ya kuiwasilisha kwa MhasibuMkuu wa Serikali. Kuandaa taarifa ya hesabu za mwisho wa mwaka na kuziwasilishakwa Mhasibu Mkuu wa Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.Aidha, Kujibu hoja zote za ukaguzi na maoni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu waHesabu za Serikali (CAG) pale anapokuwa amefanya ukaguzi wa fedha katika Ofisiya Mkuu wa Mkoa wa Katavi.

UkusanyajiMapato:

Kitengo cha Fedha na Uhasibu pia kinawajibika katika ukusanyajina usimamizi wa mapato ya Serikali kwa mujibu wa sheria na miongozo kwa baadhiya mali za Serikali zinazosimamiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi na malihizo ni nyumba zinazomilikiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi.

Ukaguziwa Awali:

Kitengo cha Fedha na Uhasibu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavikinatekekeleza majukumu yake kwa weledi na kuzingatia sheria, kanuni namiongozo ya fedha ambapo kabla ya malipo hufanyika uhakiki wa nyaraka za malipokuona kama nyaraka hizo zimezingatia taratibu za malipo ikiwa ni pamoja nakuidhinishwa. Aidha, kuhakikisha malipo yanayofanyika hayavuki bajeti ya kasmahusika.

“Katavi: BilaUmaskini Inawezekana” 

HAPA KAZI TU

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AKEMEA WAKURUGENZI KUZALISHA MADENI MAPYA KWA WAZABUNI.

    May 22, 2025
  • KATAVI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI.

    May 21, 2025
  • BASATA YAWAPIGA MSASA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KATAVI MFUMO WA AMIS NA TAUSI

    May 20, 2025
  • KATAVI KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRID YA TAIFA MEI 20,2025.

    May 15, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.