• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Planning and Coordination

Bw. Huruma Mwalutanile

Katibu Tawala Msaidizi

Sehemu ya Mipango na Uratibu

1.0 SEHEMU YA MIPANGO NA URATIBU

 

1.1 UTANGULIZI 

Sehemu ya Mipango na Uratibu ni moja ya Sehemu zinazounda Sekretariati ya Mkoa wa Katavi. Jukumu kubwa la Sehemu hii ni Uratibu wa Mipango ya Kibajeti na Maendeleo pamoja na Usimamizi na Utekelezaji wa Mipango yote ya Mkoa wa Katavi.

1.2 MUUNDO WA SEHEMU 

Kimuundo Sehemu hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi.

Watumishi waliopo katika Sehemu hii.

NA 

JINA 

CHEO 

1
Huruma Mwalutanile
Katibu Tawala Msaidizi – Mipango na Uratibu.
2
Ignas S. Kikwala
Afisa Maendeleo ya jamii Mwandamizi
3
Anna Shumbi
Afisa Maendeleo ya jamii I
4
Grace Madaha
Mtakwimu I
5
Frorence Chrisant
Mchumi I

Aidha Kimuundo Sehemu hii inatakiwa kuwa na Jumla ya Watumishi Wafuatao, Ikionyesha Waliopo na Pungufu yao.

NA. 

CHEO/KADA 

MAHITAJI 

WALIOPO 

PUNGUFU 

1.

Katibu Tawala Msaidizi

1

1

0

2.

Mchumi I

2

1

1

3.

Mtakwimu I

1

1

0

4.

Afisa Maendeleo ya Jamii

2

2

0

 

MAJUKUMU YA SEHEMU YA MIPANGO NA URATIBU

  • Kuratibu suala zima la maendeleo ya kiuchumi kwenye Mkoa ikijumuisha Sekta Binafsi, Mashirika, Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na Asasi za kijamii.
  • Kushauri na kuratibu utekelezaji wa sera za sekta mbalimbali katika Mkoa
  • Kuratibu maandalizi, usimamizi na tathimini ya mipango (Mpango Mkakati, Mpango Kazi na Bajeti) kwa ajili ya Sekretarieti ya Mkoa
  • Kuratibu mikutano ya Kamati ya Ushauri ya Mkoa
  • Kuchambua, kuunganisha na Kusimamia maandalizi na utekelezaji wa Mpango wa Sekretarieti ya Mkoa na Bajeti
  • Kuratibu miradi inayofadhiliwa na wafadhili/wadau wa maendeleo na kushauri shughuli za utekelezaji wa Miradi.
  • Kumshauri Katibu Tawala wa Mkoa kuhusu shughuli na majukumu ya mashirika, taasisi za kijamii na sekta binafsi
  • Kushauri na kuratibu shughuli za utafiti katika Mkoa
  • Kuratibu mazoezi ya sensa ya watu na makazi
  • Kuratibu shughuli zitokanazo na majanga katika Mkoa
  • Kuzisaidia na kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuandaa maandiko ya miradi
  • Kuratibu utekelezaji au ushughulikiaji wa masuala mtambuka ikijumuisha masuala ya Jinsia, Ulemavu, HIV/AIDS, na Kuwa mratibu au msimamizi wa masuala ya Jinsia katika Mkoa.
  • Kuratibu utekelezaji wa Miradi ya TASAF III katika Mkoa.
  • Kuratibu utekelezaji na kusimamia ushiriki wa sekta binafsi katika masuala mbalimbali ya maendeleo
  • Kusimamia na kutathimini utendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa.

 

1.4  MGAWANYO WA KAZI NA SHUGHULI KATIKA SEHEMU YA MIPANGO NA URATIBU

NA

JINA

CHEO

MAJUKUMU

1.
H. Mwalutanile
Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
Anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa juu ya utendaji wa shughuli zote za Sehemu.
Kuhudhuria vikao vya RMT, na vikao vya kisheria anavyotakiwa kuhudhuria
Kusimamia maandalizi ya mpango wa maendeleo (MTEF).
Kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Mkoa.
Kutoa taarifa ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika Mkoa na Halmashauri za Mkoa wa Katavi.
Kuhudhuria vikao vya kujadili Mipango ya Maendeleo na Bajeti Mkoani na Wizarani.
Kuhudhuria vikao vya RCC na RRB.
Kuhudhuria vikao vya maandalizi ya sherehe za Kitaifa na ugeni wa Mkoa, Taifa na Kimataifa.
Kusimamia upimaji wa Halmashauri dhidi ya masharti ya kupata fedha za Maendeleo  LGCDG na Benchmarking.
Kusimamia Programmu ya PFMR  Na Mpango wa Maendeleo wa Miaka 15 wa Mkoa wa Katavi
Kusimamia miradi ya Uwekezaji
3.
I.Kikwala
Afisa Maendeleo ya Jamii  Mwandamizi
Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
kufuatilia taarifa za utekelezaji wa Miradi ya Halmashauri, Ukimwi na CSOS.
Kusimamia na kufuatilia shughuli za Idara za Maendeleo ya Jamii na TASAF
Kusimamia na kufuatilia shughuli za Idara za Maendeleo ya Jamii na UKIMWI
Kufuatilia maandalizi ya Mipango ya Maendeleo na Bajeti katika Idara za Maendeleo ya jamii na TASAF
Kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na kufanya tathmini ya utekelezaji  (M & E) ya Miradi iliyopo chini ya Idara za Maendeleo ya Jamii na mradi wa TASAF,
Kuandaa Muhtasari na maazimio ya Vikao vya RCC
3.
A.Shumbi
Afisa Maendeleo ya Jamii  I
  1. Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
  2. Kuratibu asasi za Kiraia
Kusimamia na kufuatilia shughuli za Idara za Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri
Kusimamia na kufuatilia shughuli za kudhibiti UKIMWI katika Halmashauri
Kufuatilia maandalizi ya Mipango ya Maendeleo na Bajeti katika Idara za Maendeleo ya jamii.
Kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na kufanya tathmini ya utekelezaji (M & E) ya Miradi iliyopo chini ya Idara za Maendeleo ya Jamii na UKIMWI.
Kusimamia shughuli zote za Mpango wa ONYAKA
Kuratibu maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika
Mratibu wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani
Kuratibu na kutoa mafunzo ya stadi  za maisha na ujasiriamali kwa Vijana ndani ya Mkoa
Kuandaa na kuwasilisha taarifa za Robo Mwaka
4
G.Madaha
Afisa Takwimu I
Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
Kukagua, kufuatilia na tathimini ya Miradi ya Maendeleo katika Mkoa na Halmashauri
Kuratibu maandalizi ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti (MTEF) ya Mkoa
Kuboresha  Wasifu wa Mkoa na Pato la Mkoa
Kukusanya Takwimu, taarifa za Hali ya Maendeleo, kuzichambua na kuzihifadhi.
Kuratibu matumizi ya mifumo ya SBASS katika Mpango wa Maendeleo na Bajeti (MTEF)
Kuandaa taarifa za utekelezaji wa Miradi ya maendeleo kwa kwa robo, nusu na mwisho wa mwaka.
Kusimamia na kuratibu ujazwaji wa daftari la wakazi katika vijiji
Kuratibu shughuli za Takwimu kwa kushirikiana na Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Mkoa, Halmashauri na Taasisi binafsi
Kusaidia na kushauri katika masuala yahusiyo takwimu kwa uongozi wa juu na kushiriki katika kuandaa sera mbalimbali
5
F.Chrisant
Mchumi I
Anawajibika kwa Mkuu wa Sehemu ya Mipango na Uratibu
Kuandaa Annual performance report
Kuratibu na kuandaa maazimio ya RCC
Kufuatilia maandalizi ya Mipango ya Maendeleo na Bajeti katika Mkoa
Kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo na kufanya tathmini ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Mkoa na Halmashauri
Kuandaa Annual Action Plan and Cash Flow Plan for MTEF Budget

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AKEMEA WAKURUGENZI KUZALISHA MADENI MAPYA KWA WAZABUNI.

    May 22, 2025
  • KATAVI YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI.

    May 21, 2025
  • BASATA YAWAPIGA MSASA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KATAVI MFUMO WA AMIS NA TAUSI

    May 20, 2025
  • KATAVI KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRID YA TAIFA MEI 20,2025.

    May 15, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.