Mhe Mkuu wa Mkoa wa Katavi alipotembelea Kituo cha Afya cha Mishamo kufanya ukaguzi wa ujenzi unaoendelea. Hata hivyo aliridhishwa na ujenzi huo uliokamilika kwa asilimia 90 na pia kutoa pongezi za dhati kwa uongozi wa Wilaya kufanikisha kujenga Kituo kizuri na pia kuongeza jengo la xRay ambalo halikuwepo katika bajeti ya sha 400,000,000/=
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.