Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. J.Z. Homera akikagua ujenzi wa Zahanati ya Bujombe, katika Halmashauri ya Tanganyika, Mkoani Katavi. Mhe Homera amechangia 1,000,000/= kuongeza kasi ya ujenzi wa Zahanati hiyo. Zahanati ya Bujombe inatarajiwa kuanza huduma ya matibabu Januari 5, 2020. Zahanati italeta unafuu wa maisha kwa wananchi wa Bujombe ambao kwa sasa wanapata huduma ya matibabu kutoka kituoa cha Afya cha Mwese.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.