Kamishna wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Katavi Bi. Regina Kaombwe akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera Blanketi la kuzimia moto tarehe 18/9/2020 katika Ofisi za zamani za Zimamoto na Uokoaji mjini Mpanda, Mkoani Katavi.Aidha katika tukio hilo Mhe. Homera alitunuku vyeti vya mafunzo ya Jeshi la Zimamoto na Uokoji kwa wahitimu 81 wa kujitolea.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.