Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mpanda, Zakaria Nyanda akitoa maelezo kuhusu chanzo cha maji Ikolongo kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. J.Z. Homera tarehe 23/9/2020. Chanzo hicho kina uweza wa kuzalisha ujazo wa lita 3.5 kwa ajili ya wananchi wa Mpanda. Kwa sasa mahitaji ya maji kwa wanampanda ni zaidi ya lita milioni moja.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.