Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe Juma Zuberi Homera akishiriki katika ujenzi wa Kituo cha Afya , kijiji cha Ikulwe kilichoko katika Halmashauri ya Mpimbwe Mkoani Katavi. Ujenzi wa Kituo hicho unagharimu zaidi ya milioni 184, kati yake kiasi cha shs 40 milioni kimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi. Milioni 30 zimetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mpimbwe na kiasi cha zaidi ya shs milioni nane kimetolewa na wanakijiji wa Ikulwe. Aidha kiasi kilichobakia kitatafutwa na Uongozi wa Mkoa wa Katavi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.