• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Zaidi ya Milioni Mia tatu zawanufaisha Wajasiriamali Tanganyika. RC awataka wanavikundi kuzingatia masharti,kurejesha kwa wakati.

Posted on: August 13th, 2022

Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akikabidhi hundi ya zaidi ya Shilingi Milioni Mia tatu kwa vikundi 14 vya Wajasiriamali wa makundi ya Wanawake,Vijana na wenye Ulemavu zilizotolewa na  Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika  kwa wajasiriamali ikiwa ni utekelezaji wa utengaji wa fedha Asilimia 10 za mapato ya ndani  Agosti 11,2022.


Shilingi Milioni mia tatu arobaini na mbili Laki tatu na  hamsini na tisa zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa vikundi 14 vya wajasiriamali wa makundi ya Wanawake,Vijana  na wenye ulemavu, iikiwa ni utekelezaji wa utengaji wa fedha asilimia 10 kwa ajili ya Wanawake,Vijana na wenye ulemavu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022.

Akikabidhi hundi ya fedha hizo, kwa wajasiriamali hao mgeni rasmi katika hafla hiyo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Hoza Mrindoko, amewataka wanufaika wa mikopo iliyotolewa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa wanafanya marejesho kwa wakati ili kuepuka usumbufu.

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Bi Halima Kitumba ameeleza kuwa kiwango hicho cha fedha kilichotolewa kimetokana na fedha za marejesho pamoja na makusanyo ya ndani ya Halmashauri.

Ameeleza kuwa uwepo wa mikopo hiyo kwa makundi maalumu imesadia kwa kiwango kikubwa kuwaondoa vijana wengi kutoka katika makundi hatari ya matumizi ya madawa ya kulevya na vitendo vingine vya utovu wa kimaadili vinavyosababishwa kwa sehemu kubwa na ukosefu wa Ajira.

 

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAZEE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    July 28, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA MAJI, MRADI WA MAJI WA MIJI 28 WILAYA YA MPANDA.

    July 24, 2025
  • SEPTEMBA 2025, MWISHO WA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI KWENYE TAASISI ZINAZO HUDUMIA WATU ZAIDI YA 100. HUDUMIA

    July 23, 2025
  • KATAVI YAANZA KUYABAINISHA MAENEO HATARISHI YANAYOCHOCHEA MAGONJWA YA MLIPUKO.

    July 22, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.