• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Watumishi wasiosimamia vema utekelezaji Afua za Lishe Katavi kuwajibishwa.

Posted on: October 11th, 2022

Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bi Jamila Y.Kimaro Mkataba wa usimamizi na Utekelezaji wa Afua za Lishe mara baada ya kusaini mikataba hiyo 10 Oktoba 2022.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko amewataka Wakuu wa Wilaya,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri kuchukua hatua Kali Kwa Maafisa watakaoshindwa kutekeleza shughuli za uboreshaji Afua za Lishe Mkoani humo.

Mhe. Mrindoko ametoa kauli hiyo katika kikao cha tathimini ya utekelezaji wa mpango mkakati wa usafi na utunzaji mazingira mkoa wa Katavi,kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa  Manispaa ulioko Mpanda Mjini.

"Hatutakubali kuendelea kufanyana nae kazi,itabidi apumzike pembeni tutafute Watumishi ambao watasimamia vizuri afua hii ya lishe"

Awali akitoa taarifa ya hali ya Lishe Mkoani humo Afisa Lishe mkoa wa Katavi Asnath Mrema amesema Mkoa wa Katavi uko nafasi ya 14 Kitaifa. 

Amesema moja ya sababu ya Mkoa huo kushika nafasi ya 14 ni kutokana na Halmashauri za Mkoa huo kushindwa kutoa fedha za afua za Lishe kama ilivyoainishwa kwenye Bajeti na mipango.

Katika hatua za makusudi,RC Mrindoko amesainiana na kukabidhi mikataba ya Lishe na wakuu wa Wilaya za mkoa huo lengo likiwa ni utekelezaji wa kupambana na lishe duni kuanzia ngazi ya Wilaya hadi ngazi ya kitongoji.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • BEVAC YAWEKA MSUKUMO MPYA KWENYE SEKTA YA UFUGAJI NYUKI NSIMBO.

    July 10, 2025
  • SERIKALI YANUIA KUWALINDA WAANDISHI WA HABARI KATIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI

    July 10, 2025
  • NDANI YA MIAKA MINNE KATAVI YAPOKEA TRILIONI 1.345

    July 05, 2025
  • MRADI WA BEVAC WABORESHA SEKTA YA UFUGAJI NYUKI MKOANI KATAVI.

    July 09, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.