Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Juma Homera amefanya uzinduzi wa Bucha ya nyamapori mjini Mpanda kufuatia maelekezo ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli kuwa rasilimali za nchi hii lazima ziwanufaishe watanzania.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.