Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wa Mkoa wa Katavi, Wabunge pamoja na Mawaziri, akivuta utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Hospitali za Wilaya ya Tanganyika, Mlele na Mpimbwe mkoani Katavi mara baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo mpya ya Tanganyika.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.