Sekta ya mifugo ina mchango mkubwa katika nchi yetu. Katika sekta hii tunapata nyama, maziwa, ngozi, mafuta na sekta hii inatengeneza ajira katika nchi yetu. Serikali inaendelea kuboresha sekta hii kwa kutoa vitendea kazi na watalaam na huduma mbali mbali ili kuhakikisha kuwa sekta hii inaendelea kutoa mchango mkubwa zaidi kwa wananchi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.