Mkuu wa Mkoa wa Katavi akipokea T.Shirt kutoka kwa Ally Ngingiti, Meneja Mwandamizi NMB Makao Makuu Dar Es Salaam tarehe 24/9/2020. NMB imeandaa T.Shirt hizo kwa ajili ya Tamasha la Utalii wa Kitamaduni linaloanza leo(25/9/2020) katika Viwanja vya Azimio Mjini Mpanda. Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika viwanja hivyo hadi 27/9/2020.Maudhui ya Tamasha hilo ni kuonyesha utalii wa kitamaduni kwa makabila yaliyopo Mkoani Katavi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.