• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

SEPTEMBA 2025, MWISHO WA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI KWENYE TAASISI ZINAZO HUDUMIA WATU ZAIDI YA 100. HUDUMIA

Posted on: July 23rd, 2025

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ametangaza muda wa nyongeza hadi Septemba 25,2025, kuwa mwisho wa matumizi ya mkaa na  kuni katika taasisi za umma na binafsi zinazohudumia watu zaidi ya 100 mkoani hapa.

Katazo hili ni muendelezo wa kampeni ya kitaifa ya kubadili matumizi ya nishati ya kupikia kutoka kuni na mkaa ambazo zimekuwa na athari hasi katika mazingira kwenda kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo leo Julai 22,2025 amesema ongezeko la muda limetokananna sababu mbalimbali ambazo ilitakiwa muda wa ziada ili ziweze kukamilika.


"Serikali imeendelea kufanya maboresho  mbalimbali katika jamii hivyo kulingana na maelekezo ya serikali ilipaswa hadi kufika Januari 31,2024 taasisi zote zinazohudumia kuanzia watu kati ya 100 hadi 300 taasisi hizo zilitakiwa ziwe zimeanza kutumia nishati safi ya kupikia lakini kwa kushauriana na viongozi wengine tumeshauriana na kuona kwamba tutoe muda kidogo ili changamoto zilizokuwepo ziweze kutatulia na matumizinya nishati safi ya kupikia yaanze mara moja," amesema Mhe. Mrindoko.

Katika hatua nyingine  Mhe Mrindoko amepokea taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya elimu mkoani hapa ambapo Afisa elimu Mkoa wa Katavi Dafroza Ndalichako amesema mkoa umepokea jumla ya bilioni 4.2 katika shule 44 kwaajili ya kutekeleza shuguli za ujenzi wa shule mpya 5 ujenzi wa vyumba vya madarasa ya elimu ya msingi matano, ujenzi wa madarasa ya mfano ya elimu ya awali 10 na ujenzi wa matundu 192 ya vyoo.



Mwisho.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAZEE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    July 28, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA MAJI, MRADI WA MAJI WA MIJI 28 WILAYA YA MPANDA.

    July 24, 2025
  • SEPTEMBA 2025, MWISHO WA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI KWENYE TAASISI ZINAZO HUDUMIA WATU ZAIDI YA 100. HUDUMIA

    July 23, 2025
  • KATAVI YAANZA KUYABAINISHA MAENEO HATARISHI YANAYOCHOCHEA MAGONJWA YA MLIPUKO.

    July 22, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.