• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

RC. MRINDOKO AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA KIELEKTRONIKI KWA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO

Posted on: December 3rd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko amezindua shughuli ya ugawaji wa vitambulisho vya kieletroniki kwa wajasiriamali na wafanyabiashara ndogodogo vinavyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,  Wanawake na Makundi Maalum.

Uzinduzi huo umefanyika Desemba 03, 2024 wakati wa  kikao cha pili cha Baraza la biashara la Mkoa.

Akizungumza wakati  shughuli hiyo, Mheshimiwa Sawala amewahamasisha wafanyabiashara ndogondogo mkoani humo kujisajili ili kupata Vitambulisho hivyo ambavyo vitawasaidia kupata fursa mbalimbali zitakazo kuuza biashara zao ikiwemo mikopo yenye riba nafuu iliyotengwa na Serikali.


Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Katavi, Anna Shumbi   ameeleza sifa za wanaotakiwa kupatiwa vitambulisho hivyo kuwa ni lazima mfanyabiashara awe na biashara ndogo ndogo.Akieleza utofauti uliopo kati ya vitambulisho vya sasa na vile vilivyokuwa vikitolewa awali, Anna amesema kitambulisho cha sasa ni cha kisasa zaidi ambapo taarifa za mhusika zinaingiliana na mamlaka mbalimbali za kiserikali ikiwemo Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Benki na Mamlaka zingine.Lengo kuu la vitambulisho hivyo ni  kuwatambulisha wafanyabiashar kwenye taasisi mbalimbali.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAZEE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    July 28, 2025
  • ZIARA YA WAZIRI WA MAJI, MRADI WA MAJI WA MIJI 28 WILAYA YA MPANDA.

    July 24, 2025
  • SEPTEMBA 2025, MWISHO WA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI KWENYE TAASISI ZINAZO HUDUMIA WATU ZAIDI YA 100. HUDUMIA

    July 23, 2025
  • KATAVI YAANZA KUYABAINISHA MAENEO HATARISHI YANAYOCHOCHEA MAGONJWA YA MLIPUKO.

    July 22, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.