Mtaji ni miongoni mwa vigezo vinavyoweza kumsaidia mtu kufanya biashara au shughuli yoyote ya uzalishaji mfano uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mkoani Katavi Benki ya kilimo(TADB) inajitokeza kunenepesha mitaji ya wakulima na wafugaji ili waweze kuzalisha kwa wingi mazao ya kilimo kama mazao ya nafaka na mifugo na kufanya biashara. Tunaona jambo hilo likishuhudiwa na kiongozi wa mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Mrindoko akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi karibu bilioni 1 na nusu mwakilishi wa wakulima na wafugaji wa mkoa wa Katavi
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.