• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

RC Katavi aagiza TAKUKURU kuchunguza Utata wa Milioni 33.4 Mpanda MC.

Posted on: June 27th, 2022

Pichani:Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko  27Juni 2022  akizungumza wakati wa Baraza la Hoja Manispaa ya Mpanda.

Na:John Mganga-Katavi RS

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrondoko ametoa siku 35 kwa kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi kuchunguza na kuchukua hatua dhidi ya Watumishi watakaobainika kuhusika na kutokuwasilisha fedha zilizokusanywa kupitia mfumo wa Mapato bila kuziwasilisha benki.

Mkuu wa Mkoa ametoa agizo hilo katika baraza la Madiwani la Manispaa ya Mpanda lililoketi kupitia na kujadili hoja za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali CAG.

Mkuu wa mkoa ameeleza kuwa  ipo changamoto ya usimamizi mbovu wa Mashine za kukusanyia mapato jambo linalochangia kuzalisha wadaiwa wengi katika mfumo wa mapato akitolea mfano Shilingi Milioni 33.4 ambazo zinasomeka kwenye mfumo licha ya wakusanyaji kupewa bili ili kuziwasilisha fedha hizo Benki.

Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Mpanda Bi.Sophia Kumbuli amekiri kuwepo kwa changamoto hiyo ambapo ameahidi kuchukua hatua stahiki kwa wale wote wanaohusika kusababisha changamoto hiyo ya deni la shilingi Milioni 33.4 ambalo linasomeka katika Mfumo wa kukusanyia mapato LGRCIS.

Aidha Mhe.Mrindoko ameutaka uongozi wa Manispaa ya Mpanda kuhakikisha kuwa inashughulikia na kumaliza kabisa  hoja mbalimbali zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili kuhakikisha kuwa hoja hizo hazijirudii tena.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • MABADILIKO YA MAJIMBO YA UCHAGUZI

    May 12, 2025
  • RC MRINDOKO AZINDUA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU (GAWE) 2025

    May 05, 2025
  • RC MRINDOKO AIHAKIKISHIA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI USALAMA WA UCHAGUZI MKOANI KATAVI.

    April 29, 2025
  • WAZIRI NDEJEMBI AONGOZA MIKAKATI YA KUTATUA MGOGORO WA ARDHI ENEO LA WESTERN, KITONGOJI CHA LUHAFWE – H/ WILAYA YA TANGANYIKA

    April 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.