Mkoa wa Katavi umetengeneza Mpango Mkakati Mdogo(miaka 5) wa masuala la Kilimo, Mifugo, Ufugaji Nyuki, Uvuvi na Mazingira na kuwakabidhi wakuu wa wilaya za Mlelel, Tanganyika na Mpanda kwa ajili ya kusimamia utekelezaji wake katika halmashauri za Mpanda MC, Tanganyika, Mlele, Nsimbo na Mpimbwe.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.