Lishe bora ni msingi wa Afya njema na maendeleo kwa binadamu. Binadamu tunapaswa kula mlo kamili katika maisha yetu ili kuepukana na utapiamlo hasa kwa watoto chini ya miaka 5. Ndani ya siku 1000 tangu kutungwa na kuzaliwa/kulelewa kwa mtoto, mtoto anatakiwa kunyonyoshwa maziwa ya mama na kuanzishiwa chakula chake na mama kupewa mlo kamili yaani unaozingatia makundi 5 ya vyakula ili kumuepusha mtoto na udumavu
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.