• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Makamu wa Rais akabidhi hundi ya Bil.2.3 kwa Vijiji 8 vinavyonufaika na Hewa Ukaa Tanganyika

Posted on: July 23rd, 2022

Pichani:Makamu wa Rais Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akikabidhi Hundi ya Shilingi Bilioni 2.3 kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko ambaye aliipokea kwa Mhe.Makamu wa Rais kwa niaba ya Wananchi katika tukio la kukabidhi hundi hiyo katika Kijiji cha Katuma Wilayani Tanganyika.

Tanganyika-Katuma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa agizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kuhakikisha kuwa Elimu ya kutosha inatolewa kwa Wananchi ili waweze kutambua fursa zilizopo katika Biashara ya Hewa ukaa.

Mhe.Makamu wa Rais ametoa rai hiyo alipokabidhi hundi yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 kwa vijiji nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika vinavyonufaika na Mradi wa Biashara ya Hewa Ukaa.

Akizungumza na Wakazi wa Kata ya Katuma mara baada ya kukabidhi hundi hiyo Makamu wa Rais Dkt.Mpamgo amewataka Wananchi wa Tanganyika na Mkoa wa Katavi kwa ujumla kuendelea kuhifadhi mazingira ili waendelee kunufaika na Mradi wa Hewa Ukaa ambao umewaletea maendeleo makubwa katika Sekta mbalimbali

Mhe.Dkt.Mpango ameeleza kuwa iwapo Wananchi watatuna mazingira ikiwa ni pamoja na kutunza uoto wa asili itasaidia kwa kiwango kikubwa kupungoiza ama kuondoa athari zitokanazo na mabadiliko ya Tabia ya Nchi yanayosababishwa kwa sehemum kubwa na tabia ya Wananchi kukata miti hovyo na kuharibu mazingira

Amesema ni jukumu la kila Mtanzania kuhakikisha kuwa anatunza Mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya Nchi ambayo yamesababishwa na uharibifu mkubwa wa mazingira.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilauya ya Tanganyika Bw.Shabani Juma ameeleza kuwa Mradi wa biashara ya  Hewa ukaa katika Halmashauri ya Wilayaya Tanganyika ulianza Utekelezaji wake Mwaka 2018  ukiendeshwa na Halmashauri ya Tanganyika na Kampuni ya Carbon Tanzania kwa kushirikiana na taasisi ya Tuungane

Mkurugenzi Shabani Juma ameeleza kuwa Mradi huo unatelekezwa katika Vijiji nane vya Mpembe, Kapanga,Lugonesi,Katuma,Mwese,Bujombe,pamoja na Kijiji cha Kadunda ambavyo vina Misitu yenye ukubwa wa  hekta 216,944

Ameeleza kuwa tangu biashara ya hewa ukaa ianze Jumla ya Shilingi za Kitanzania Bilioni tatu Milioni Mia Tisa na Thelathini Elfu.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Mpanda Vijijini Mhe.Selemani Kakoso alisema mradi wa biashara ya hewa ukaa imewanufaisha Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika ambapo amemuomba MhE.Makamu wa Rais kuingilia kati ili Misitu inayosimamiwa na  Wananchi kupitia Vijiji waendelee kunufaika na Faida zitokanazo na utunzaji wa Misitu hiyo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO ATOA WITO KWA VIONGOZI KUHAMASISHA MATUMIZI YA CHAKULA CHENYE VIRUTUBISHI ILI KUTOKOMEZA UDUMAVU.

    June 10, 2025
  • RC MRINDOKO AZINDUA MSIMU WA UNUNUZI WA PAMBA NA MAZAO MENGINE KWA MWAKA 2025/26

    June 09, 2025
  • RC MRINDOKO AKUTANA NA WAENDESHA BODABODA KATAVI, ATOA WITO WA AMANI NA USHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025.

    June 05, 2025
  • JAJI MKUU WA TANZANIA ASISITIZA UADILIFU NA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UTOAJI HAKI.

    May 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.