• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Kuimarika miundombinu ya uchukuzi Katavi kwachochea ukuaji sekta ya Kilimo.

Posted on: November 24th, 2022

Na: Mwandishi wetu.

Kuimarika mara dufu kwa miundombinu ya uchukuzi Mkoani Katavi kumechangia kwa kiasi kikubwa  ukuaji wa uchumi pamoja na Mkoa huo kuendelea  kuwa kitovu cha uzalishaji  na kujitosheleza kwa chakula  Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bi.Mwanamvua Hoza  Mrindoko ameeleza.

Bi Mrindoko ameyasema hayo katika kikao cha Bodi ya Barabara kilichoketi 23 Novemba 2022 katika ukumbi wa Manispaa ya Mpanda kujadili utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Miundombinu ya barabara Mkoani humo.

 Amesema kuimarika kwa miundombinu mbalimbali ya uchukuzi ikiwemo Barabara za Miji na Vijijini kumerahisisha shughuli za uchukuzi ikiwemo uingizaji wa pembejeo mbalimbali za kilimo kwa wakati pamoja na usafirishaji wa Mazao ya chakula hali inayosaidia kwa kiasi kikubwa kukuza sekta ya Uzalishaji.

Kutokana na Serikali kuwekeza fedha nyingi katika Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Barabara  Mkuu huyo wa Mkoa  amewataka Watumishi wa Umma Mkoani humo kutimiza wajibu wao kikamilifu ili kuhakikisha kuwa adhma ya Serikali kuboresha miundombinu ili kuinua uchumi wa Wananchi inatimia.

Amesisitiza Watumishi wa Umma kushirikiana vyema na Wabunge Mkoani humo kutatua changamoto chache zilizopo katika Sekta ya Barabara pamoja na sekta zingine  ndani ya Mkoa  hatua itakayoharakisha  utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • View All

Latest News

  • SAMIA DAY; KUADHIMISHA MIAKA MITANO YA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATAVI

    July 02, 2025
  • WANUFAIKA TASAF WAJIVUNIA MAFANIKIO.

    June 27, 2025
  • RAS MSOVELA AAGIZA MAAFISA BIASHARA KUSIMAMIA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA, MIKATABA YA WAWEKEZAJI NA ULINZI WA MAENEO YA UWEKEZAJI.

    June 26, 2025
  • RC MRINDOKO ASISITIZA UWAJIBIKAJI KATIKA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO

    June 25, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.