Mhe Mkuu wa Mkoa wa Katavi Major Gen. (Mst) Raphael Muhuga ashiriki kikao cha ALAT Mkoani Katavi kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa Mpanda tarehe 29/8/2017. Kikao hicho kimejadili kuhusu uanzishwaji wa kilimo cha tumbaku Mkoani Katavi. Pamoja na mambo mengine Mhe Mkuu wa Mkoa aliwasiliana na Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho ya Mtwara ambapo aliahidi kwamba wataalam wake kutoka chuo cha Utafiti Nalyende wanatarajiwa kuja Mkoani Katavi kufanya utafiti wa ardhi katika Halmashauri zote za Mkoa wa Katavi.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.