Maonesho ya Utalii Karibu Kusini yanafanyika Mjini Iringa, lengo la maonesho hayo ni kutangaza fursa za uwekezaji katika Mikoa ya Kusini Nyanda za Juu. Mkoa wa Katavi ni miongoni mwa mikoa iliyoshiriki katika maonesho hayo ambapo imetangaza fursa mbalimbali za uwekezaji kwenye sekta ya utalii ikiwemo kujenga hoteli za kitalii, kuwekeza katika ujenzi wa makumbusho na utalii wa kutamaduni.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.