Chanzo cha maji Ikolongo kina uwezo wa kuzalisha ujazo wa lita milioni 3.5 kwa wananchi wa Mpanda. Kwa sasa mahitaji ya maji kwa wanampanda ni zaidi ya lita milioni moja. Maji husambazwa kwa mserereko kutoka kwenye chanzo cha maji na Matenki yaliyojengwa Mpanda.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi
Telephone: 025-2957108
Mobile:
Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.