• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Katavi Regional Website

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
  • Services
  • Administration
    • Departments
      • Adm and HR
      • Planning and Coordination
      • LGA.s
      • Infrustructures
      • EPSS
      • Water
      • Healthy
      • Education
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Finance and Accounts
      • Procurement and Management
      • Legal
      • Internal Auditor
    • Organization Structure
  • Publications
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Going Projects
  • Districts
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Investment Opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Tourism
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Chanjo ya Polio kutolewa 18-21 Mei 2022, RC Katavi awahimiza Wananchi kutoa Ushirikiano zoezi la Utoaji wa chanjo kwa watoto.

Posted on: May 14th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh.Mwanamvua Mrindoko alipozungumza na Waandishi wa Habari  13 Mei 2022 Ofisini kwake

Na:John Mganga-IO Katavi RS 

Watoto wapatao 189,465 chini ya Miaka 5 wanatarajiwa kupata chanjo ya Ugonjwa wa Polio Mkoani Katavi ikiwa ni jiitihada za Serikali kuchukua tahadhari kufuatia  tishio la mlipuko wa Ugonjwa huo baada ya Visa kadhaa vya watoto kukutwa na maambukizi ya Polio  kuripotiwa katika Nchi jirani ya Malawi.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh.Mwanamvua Mrindoko alipozungumza na Waandishi wa Habari 13 Mei 2022 Ofisini kwake ambapo ameeleza kuwa chanjo hiyo itatolewa rasmi kuanzia Tarehe 18 hadi Tarehe 21 Mwezi Mei 2022.

Mhe. Mrindoko ameeleza kuwa awali Serikali iliahirisha zoezi la utoaji wa chanjo ya Polio ili kuweka sawa maandalizi   kusudi zoezi hilo la utoaji wa chanjo liweze kutolewa kwa ufanisi zaidi kama ilivyokusudiwa.

Ameeleza kuwa Zoezi hilo litatekelezwa na  Wataalamu wa Afya kwa  kupita nyumba kwa nyumba ambapo watatoa chanjo hiyo ya matone kwa njia ya mdomo  na pia katika maeneo yote ambayo watoto watapatikana.

Aidha Mh.Mrindoko  amewahakikishia Wananchi wote kuwa Chanjo ya Polio inayotolewa ni salama na haina madhara yeyote na kwamba kwa wale wote wenye maswali wanapaswa kuwauliza wataalamu wa Afya waliopo katika maeneo mbalimbali katika  Vituo vya kutolea hduma za Afya.

Amekemea vikali tabia ya Wananchi wanaopotosha Taarifa mbalimbali kuhusu Chanjo ambapo ameeleza kuwa serikali  haitosita kuchukua hatua za kinidhamu kwa wale wote watakaobainika kupotosha Taarifa za Chanjo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI - MWAKA 2025 April 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA SEKTA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOA WA KATAVI August 27, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA SEKTA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI MKOA WA KATAVI August 27, 2025
  • View All

Latest News

  • RC MRINDOKO AKAGUA MIRADI YA MAJI MPANDA, ATOA MAAGIZO YA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI.

    September 03, 2025
  • RC MRINDOKO AHIMIZA AMANI NA USHIRIKIANO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025.

    September 01, 2025
  • MFUMO WA E - MABORESHO KUIMARISHA UTENDAJI KWA WATUMISHI WA UMMA.

    August 26, 2025
  • MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA YAFIKIA TAMATI, DC BUSWELU AWASISITIZA UZALENDO

    August 26, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
More Videos

Quick Links

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Related Links

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Location Map

Contact Us

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Postal Address: Box 235, Mpanda -Katavi

    Telephone: 025-2957108

    Mobile:

    Email: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Katavi RS . All rights reserved.