Ujenzi wa Ofizi za Maafisa Tarafa kwa Kata za Mamba Mpimbwe na Nsimbo ziliznaz utekelezaji wake Mezi Machi 2022 na ulitakiwa kumalizika Mwezi Juni 2022.
Ujenzi unatekelezwa na Mafundi Wazawa,
Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa ni Shilingi za Kitanzania 373,494,800.00
Kiasi cha Fedha kilichotumika 358,000,000
Upo hatua za Umaliziaji
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved