Ujenzi wa Nyumba 3 za Maafisa Tarafa katika Tarafa za Mamba Mpimbwe na Nsimbo ulianza kutekelezwa rasmi Mwezi Januari na Ulitakiwa kumalizika Mwezi Mei 2022.
Ujenzi umetekelezwa na Mafundi wazawa.
Ujenzi wa Nyumba ya Afisa Tarafa Nsimbo,Mpimbwe na Mamba umemalizika
Gharama ya Ujenzi ni Shilingi za Kitanzania 254,763,405.00
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved