Ujenzi wa Nyumba 3 za Maafisa Tarafa katika Kata za Kashaulili,Misunkumilo na Kabungu ulianza Utekelezaji wake Mwezi Machi 2022 na ulitakiwa kumalizika Mwezi Juni 2022.
Ujenzi unatekelezwa na Mafunsi wazawa
Kiasi cha Fedha Kilichopokelewa ni 294,891,000.00
Kiasi cha Fedha kilichotumika hadi kufikia Mwezi Juni 209,800,000.00
Ujenzi uko katika hatua za Umaliziaji.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved