Ujenzi wa Jengo la Utawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi ulianza Utekelezaji wake Mwezi Novemba 2021 na unatarajiwa kumalizika Mwezi Desemba 2022.
Ujenzi unatekelezwa na Mkandarasi SUMA JKT.
Hadi kufikia Mwezi Juni 2022 Utekelezaji umefikia Asilimia 67
Kazi za Ujenzi zinaendelea
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved