RC KATAVI ARUHUSU UJENZI WA HOSPITALI MLELE UENDELEE
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe Amos Makalla ameagiza Mapendekezo yote 14 yaliyotolewa na Timu ya watalaam yazingatiwe ndipo ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mlele uweze kuendelea baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na mapungufu yaliyogundulika hapo awali.
Hata hivyo, ameuelekeza uongozi wa Halmashauri ya Mlele kusimamia kwa karibu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ili kurekebisha kasoro zilizojitokeza na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeongeza wahandisi Wawili kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwenda Mlele kuongeza usimamizi
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved