Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe Juma Zuberi Homera akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Stand ya mabasi ya abiria eneo la Majalila yaliko Makao makuu ya Ofisi ya Halmashauri ya Tanganyika mnamo tarehe 17 Septemba, 2020. Ujenzi huu ulianza tarehe 01 Julai 2020 na utagharimu kiasi cha shs 75,000,0000.00. Hadi sasa ujenzi huu umeshagharimu kiasi cha shs 31, 460,000.00. Mradi huu utawezesha usafirishaji wa abiria na bidhaa kuingia na kutoka ndani ya Tanganyika na pia utaboresha mapato ya Halmashauri.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved